Mar 24, 2025

LUGANGIRA AULA BARAZA LA UTAWALA UBORA DUNIANI

 MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameteuliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani “World Economic Forum” kuwa Mjumbe wa Baraza lao la Utawala Bora la Dunia kwa Mwaka 2025-26. 


Jukumu lao kubwa litakuwa kutafuta ufumbuzi  wa haraka wa changamoto za utawala bora duniani.




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages