Mar 27, 2025

GST KUBORESHA UTAFITI WA MADINI KWA KUTUMIA NDEGE

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti Tanzania (GST), Notka Banteze  akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dodoma, kuhusu mafanikio na mwelekeo wa ofisi hiyo ndani ya miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Rodney Thadeus akitoa neno la shukrani kwa viongozi wa GST na waandishi wa habari  alipokuwa  akihitimisha mkutano huo.
Wanahabari wakiwa katika mkutano huo.


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages