Mar 25, 2025

FAINI KWA WANAOCHEZEA VIPIMO SH. MIL. 20 - WMA



Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dodoma, kuhusu mafanikio na mwelekeo wa ofisi hiyo ndani ya miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita.


Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la kuhitimisha mkutano huo.



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages