Mar 4, 2025

ASILIMIA 90 YA BIASHARA YA MADINI HUFANYWA NA KAMPUNI ZA WATANZANIA


 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo Akielezea mafanikio ya Tume ya Madini kwa kipindi cha miaka minne YA Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan leo Machi 4, 2025 kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages