LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 25, 2025

TEA YAJIVUNIA MAFANIKIO MAKUBWA AWAMU YA RAIS SAMIA


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bw. Erasmus Kipesha akizingumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa mamlaka hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita  Februari 25, 2025, katika ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la utangulizi wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Kipesha kuzungumza na vyombo vya habari.
Waandishi wa Habari wakiwa katika mkutano huo katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO.







 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages