LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 25, 2025

RAIS SAMIA AENDELEA NA ZIARA HANDENI TANGA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga  tarehe 25 Februari, 2025. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga  tarehe 25 Februari, 2025.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages