LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2025

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA AU ETHIOPIA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 15 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages