Zaidi ya wajumbe 600 wa Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamewasili leo jijini Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Kisasa ya SGR kutoka Dar Es Salaam tayari kuhudhuria vikao mbalimbali na mkutano huo utakaofanyika kwa siku mbili Januari 18- 19 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Katika safari hiyo walikuwemo pia wasanii mbalimbali pamoja na Mwanamuziki mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Bozii Boziana.
Baadhi ya wasanii watakaonogesha mkutano mkuu wakiteremka kwenye treni hiyo.
Mwanamuziki Mkongwe Bozii Boziana (kushoto)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇