LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 17, 2025

DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM,  Dkt. Emmanuel Nchimbi.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages