Mbunge wa Mbinga Mjini, Jonas Mbunda akiuliza swali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,( Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi (kulia0 akijadiliana jambo na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Timotheo Mzava
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya akijibu maswali ya Wabunge
Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akijadiliana jambo na Mbunge wa Busanda, Tumaini Magesa
Wabunge wakiwa bungeni.
Baadhi ya wageni
Baadhi ya wabunge wakiwa bungeni.
Mbunge wa Kalambo, Josphat Kandege akiuliza swali.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇