Mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege ameihoji serikali bungeni Dodoma Januari 28, 2025, kwamba ni lini itaondoa usumbufu wa kupata vibali na gharama pale raia wa Tanzania wanapolazimika kushiriki shughuli za kijamii nchini Zambia? Na hatimaye kujibiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo.
Your Ad Spot
Jan 28, 2025
KANDEGE AITAKA SERIKALI KUONDOA USUMBUFU WA KUPATA VIBALI KWENDA ZAMBIA
Tags
featured#
Habari#
Share This
About Blog Updates👇🏻
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇