LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 21, 2025

MSIMUONEE HAYA MTUMISHI YEYOTE ATAKAYEHARIBU TASWIRA YA NHIF- MHAGAMA

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi mpya ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jijini Dodoma leo Januari 21, 2025, ikiwa ni iashara ya uzinduzi rasmi wa bodi hiyo.

 Ameitaka bodi hiyo  kila mipango wanayoifanya wahakikishe wanawakumbuke  na kuwajali wananchi wa hali ya chini. Pia ameagiza kutomuonea haya mtumishi yeyote atakayeharibu taswira nzuri ya Taaisi hiyo. 

Waziri Mhagama akimkabidhi  vitendea kazi Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo, Dkt. Irene Isaka..
Mhagama akiwa na wajumbe wa bodi hiyo baada ya kuwakabidhi vitendea kazi.

 

Baadhi ya wajumbe wa bodi.

Waziri Mhagama akihutubia,

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages