Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), eneo la Medeli Makao Makuu ya Nchi Dodoma. Ujenzi wa jengo hilo unaotarajiwa kukamilika Februari 10, 2024 umegharimu zaidi ya sh. bil. 6. Hivi sasa ujenzi wake umefikia asilimia 95.2.
Mtendaji Mkuu wa WMA, Alban Kihulla (kulia) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu, Dkt. Abdallah kuhusu hatua mbalimbali za ukamilishaji wa jengo hilo.Dkt. Abdallah akitoka katika lifti ya jengo hilo.
Mkandari wa jengo hilo, Burhan Hamza wa Kampuni ya Mohammed Builgers akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu, Dkt. Abdallah na kuahidi kukamilisha ujenzi ndani ya muda ulioongezwa.
IMEANDALIWA NA
RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇