LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 19, 2025

MKUTANO MKUU WATOA AZIMIO DK.SAMIA, DK. MWINYI WAWE WAGONBEA URAIS 2025

 


 Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kauli Moja wametoa azimio la DK. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na DK. Hussein Ali Mwinyi kuwa mgombea urais wa Zanzibar 2025.

Hivi sasa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, wamejichimbia katika ukumbi wa NEC wa White House Dodoma,kuthibitisha azimio hilo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages