LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 13, 2024

WAANDISHI TUMIENI KALAMU ZENU KUILINDA NCHI - MSIGWA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaasa Waandishi wa habari nchini kuwa wazalendo kwa kutumia kalamu zao kuilinda Tanzania.


Ameyasema hayo wakati wa hafla ya kukabidhiwa nyadhifa hizo uliofanywa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nocholous Mkapa na aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Balozi Thobias Makoba kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, jijini Dodoma Desemba 13, 2024.

Msigwa akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza wakati wa hafla hiyo.


Mkapa akimkabidhi zana za kazi Gerson Msigwa.
Makoba akimkabidhi nyaraka Msigwa.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Balozi Thobias Makoba hakusita kuwamwagia pongezi waandishi wa habari kwa kuwa wazalendo wa nchi yao.
Wanahabari wakiwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya watumishi wa serikali wakiwa katika hafla hiyo.




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages