Ikulu, Dar es Salaam
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka, imesema, pia Rais amemteua Joyce Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kuchukua nafasi ya Mhandisi Musa Iyobe ambaye amemailiza muda wake.
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Taarifa ya Uteuzi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇