LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 2, 2024

RAIS DK. SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NDUGULILE, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO


Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, leo, Disemba 2, 2024.
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho alipokuwa akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, leo, Disemba 2, 2024.
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akifariji familia ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile 
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, leo, Disemba 2, 2024.
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akionekana kuwa na majonzi alipokuwa akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, leo, Disemba 2, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages