Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi George Katabazi ametoa ufafanuzi kuhusu ajali iliyohusisha Lori na Basi la Shabiby lililokuwa linasafirisha wabunge kwenda kwenye mashindano ya michezo ya mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa Kenya, iliyotokea majira ya saa 2 asubuhi eneo la Mbande, wilayani Kongwa, Dodoma.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇