LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 1, 2024

BABA HALISI ALIPOMTEMBELEA RC ANGENGENYE MKOANI KIGOMA

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Halisi lenye Kao Kuu lake Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam, BABA HALISI akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye, alipomtembelea Ofisini kwake kumsalimia, Juzi. Wengine kulia ni Mnara Mmoja Halisi na aliyeko na Baba Halisi ni Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Dk. Uelewa Halisi.

Mazungumza yakiendelea.
Mazungumza yakiendelea.
Baba Halisi akitia sainia yake katika kitabu cha Wageni Ofisini kwa RC Andengenye.
RC Andengenye akizungumza jambo na Baba Halisi.
Baba Halisi akiagana na RC Andengenye, baada ya mazungumzo yao.
Mnara Mmoja Halisi akiagana na RC Andengenye baada ya mazungumzo hayo.
Dk. Uelewa Halisi akiagana na RC Andengenye baada ya mazungumzo hayo.
Mama Halisi akiagana na RC Andengenye baada ya mazungumzo hayo. (Picha zote na Ofisi ya Baba Halisi).
 
No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages