Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/2026 na mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/2026, bungeni Dodoma Novemba 1, 2024.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇