LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2024

MWANDABILA AMPONGEZA RAIS SAMIA KUPUNGUZA DENI LA WATUMISHI SH. BIL. 42


 Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mwandabila ambaye ameamua kupigania haki na stahiki za watumishi wanaocheleweshewa malipo yao bila sababu za msingi.


Pamoja na mambo mengine, ameitaka serikali kuweka sheria au utaratibu maalumu wa kuwachukulia hatua kali viongozi wanaosababisha ucheleweshwaji huo wa malipo.


Ameyasema hayo alipokuwa akichangia taarifa za kamati tatu za Bunge za PAC, PIC na LAAC bungeni Dodoma mwishoni mwa wiki.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages