Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo ameitaka serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Chang'ombe mpaka Magamba ambayo mkandarasi amekimbia. Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha maswali namajibu bungeni Dodoma Novemba 6, 2024, na swali hilo kujibiwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Zainab Katimba.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇