LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2024

WANAOUBEZA MWENGE WA UHURU HAWAUTAMBUI VIZURI UTANZANIA WAO - MAKOBA

Wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakiwa Uwanja wa Kirumba Mwanza ambapo leo Oktoba 14, 2024 ni kilele chake na utazimwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan.
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Thobias Makoba (pichani) amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoubeza Mwenge wa Uhuru na kwamba kwa vyoyote vile watakuwa  hawautambui vizuri Utanzania wao.

Pamoja na mambo mengine aliyasema hayo katika mkutano na vyombo vya habari uliofanyika hivi karibuni katika Makao Makuu ya Idara hiyo jijini Dodoma.

 
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages