LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 21, 2024

VIONGOZI WA DINI WAOMBA AMANI ITAWALE TANZANIA

 Kongamano maalumu la viongozi wa Dini kuliombea Taifa na viongozi wake, litakalofanyika kwa siku saba katika viwanja vya Kanisa la Karmeli Asemblies of God Ipagala jijini Dodoma.


Kongamano hilo linaloshirikisha viongozi wa dini wa ndani na nje ya nchi limeanza Oktoba 20, litahitimishwa Oktoba 27, 2024.

Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dk. Evance Chande akiongoza maombezi hayo ambayo mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde.

Askofu Benjamin Mwinula wa Kanisa la Harvest Gospel Mission
Mwenyekiti wa CPCT, Evance Mongi.
Mhubiri kutoka Uganda, 
Mbunge wa Jimbo la Dodoma, Anthony Mavunde akikabidhiwa tuzo maalu ya kutambua mchango wake kwa jamii. Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano wa Kanisa la Harvest na Karmel.
Mavunde akishiriki katika maombezi hayo.
Baadhi ya waumini wakishiriki katika maombezi hayo.




Mavinde akiwa na viongozi wa dini pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama na serikali.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages