LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2024

RAIS SAMIA AKISHIRIKI MISA YA KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU J. K. NYERERE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ma Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza tarehe 14 Oktoba, 2024.


Makamu wa Rais, Philip Mpango (wa pili kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko.


       
  



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages