Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi, Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka wananchi kutoogopa wala kuona aibu kukichagua chama hicho wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.
Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wananchi wakati wa ziara yake ya kwanza mkoani Simiyu Oktoba 6, 2024.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇