Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Anastazia Wambura (kushoto) pamoja na Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Ng'enda
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, William Lukuvi akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Dk. Christina Mzava kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Oktoba 29, 2024.
Lukuvi akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), George Mkuchika katika Ukumbi wa Bunge.
Lukuvi akijadiliana na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde bungeni Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇