LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 28, 2024

WANASIASA MUWE WAANGALIFU MSITUGAWE KATIKA NAMNA YOYOTE - ASKOFU CHANDE


Askofu Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God, Dk. Evance Chande na viongozi wengine wa dini wakiliombea Taifa na viongozi wake wakati wa kuhitimisha kongamano lililofanyika kwa wiki nzima katika kanisa hilo lililopo Ipagala, jijini Dodoma Octoba 27, 2024..

Askofu wa Kanisa la Kingdom, Juverinary Kabundugulu akishiriki kuliombea Taifa.
Makamu Askofu wa Kanisa la Cornerstone.

Msanii wa muziki wa injili, Mzee Cosmas Chidumule akitumbuiza kwa wimbo wa kumtukuza Yesu Kristo wakati wa kongamano hilo.

Askofu Chande akiwa na viongozi wengine wa dini wakati wa kongamano hilo.


Waumini wa dini wakiimba nyimbo kwa furaha.




Kanisa la Karmeli.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages