LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 11, 2024

KATIBU MKUU NCHIMBI AKISALIMIA WANANCHI WA KAGONGWA KAHAMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo 11 Octoba 2024 pamoja na Msafara wake amesimama Kata ya Kagongwa Wilayani Kahama na kusalimia Wananchi waliojitokeza akiwa njiani kuelekea Shinyanga Mjini ambako anatarajiwa kufanya Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Shinyanga katika Viwanja vya Town School Mjini Shinyanga.

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akisema maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Dkt. Nchimbi kuzungumzia na Wananchi.
Dkt. Nchimbi akizingumza na Wananchi.
Sehemu ya Wananchi wakishangilia Dkt. Nchimbi.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages