LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 4, 2024

RFAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WANG HUNING CHINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuanza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.










 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages