Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh), Ikulu jijini Dar es Salaam. leo Septemba 18, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kwenye kikao cha pamoja kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇