LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2024

DK BITEKO AIMWAGIA PONGEZI BODI YA REA

   

 

Naibu Waziri Mkuu na  Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko (wa pili kuli) akisaidiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu kufunua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa jengo jipya la kisasa la REA eneo la Medeli jijini Dodoma.

Akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo, Dk Biteko ameipongeza Bodi ya REA kwa kusimamia vizuri utendaji wa wakala huo kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati, hivyo kutoa huduma bora kwa wananchi.

Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages