Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akitazama Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Teofilo Mbunda kuhusu anavyomudu matumizi ya Kompyuta baada ya kufungua rasmi shuleni hiyo, Songea mkoani Ruvuma leo, Septemba 24, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma, leo Septemba 24, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na wannafunzi
wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu,
Songea mkoani Ruvuma, baada ya kufungua rasmi shule hiyo, leo Septemba 24, 2024.
Your Ad Spot
Sep 24, 2024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇