LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 22, 2024

MONGELLA AFANYA KIKAOKAZI NA VIONGOZI NA WATUMISHI WA CCM MKOANI KIGOMA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, jana Septemba 21, 2024 amefanya kikao kazi na viongozi waandamizi na watumishi wa CCM, mkoani Kigoma, jana, Septemba 21, 2024.

Akizungumza katika kikao hicho, pamoja na mambo mengine, Mongella amesisitiza kwa viongozi na watumishi hao kuendelea kujenga umoja na mshikamano, utunzaji wa siri za vikao, kusimamia Katiba ya CCM, kanuni, miongozo na taratibu mbalimbali za Chama na Jumuiya zake.

Pichani Mongella akizungumza katika kikao hicho na viongozi na watumishi hao wakimsikiliza.


Viongozi na watumishi wa CCM wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM John Mongella alipokuwa akizungumza nao katika kikaokazi, kilichofanyika mkoani Kigoma, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages