LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 2, 2024

MAGESSA: TFS IWAACHIE WANANCHI HIFADHI BUSANDA


 Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa ameihoji serikali bungeni kwamba ni lini Wakala wa Misitu (TFS) itawaruhusu wananchi wa Busanda kufanya shughuli za kiuchumi Hifadhi ya Misitu iliyopo kati ya Geita na Katoro kwani haina miti.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages