Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga amempongeza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Waziri Mkuu, Jassim Majaliwa kwa kuupa uzito unaostahili Mkutano Maalumu wa Viongozi, Wataalam na Wadau kuhusu mwelekeo wa hali ya mazingira nchini. Ametoa pongezi hizo wakati Waziri Mkuu Majaliwa akijiandaa leo kufunga mkutano huo wa siku mbili uliofunguliwa na Makamu wa Rais, Dk. Mpango jana kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Your Ad Spot
Sep 10, 2024
KISWAGA AWAPONGEZA DK MPANGO, MAJALIWA KWA KUUPA UZITO MKUTANO WA MAZINGIRA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga amempongeza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Waziri Mkuu, Jassim Majaliwa kwa kuupa uzito unaostahili Mkutano Maalumu wa Viongozi, Wataalam na Wadau kuhusu mwelekeo wa hali ya mazingira nchini. Ametoa pongezi hizo wakati Waziri Mkuu Majaliwa akijiandaa leo kufunga mkutano huo wa siku mbili uliofunguliwa na Makamu wa Rais, Dk. Mpango jana kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Tags
featured#
Mazingira#
Share This
About Blog Updates👇🏻
Mazingira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇