LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 24, 2024

CHATANDA AHUDHURIA MKUTANO WA RAIS SAMIA SONGEA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (katikati) akisalimiana Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbinga, Bashiru Madodi.walipokutana katika  mkutano uliohutubiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma Septemba 23, 2024. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainab Khamis Shomari.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dk. Tea Ntala walipokutana katika  mkutano uliohutubiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma Septemba 23, 2024. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainab Khamis Shomari.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages