LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 31, 2024

NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AWAKABIDHI TUZO WASHINDI NMB BUNGE BONANZA



Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko akikabidhi tuzo mbalimbali kwa washindi wa kwanza wa NMB Bunge Bonanza lililofanyika jijini Dodoma Agosti 31, 2024.

Ameipongeza NMB kwa kudhamini Bonanza hilo lililofana na akatumia fursa hiyo kutoa rai kwa Watanzania kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wanaofaa kwa maendeleo ya Taifa. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba 27 mwaka huu.













 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages