LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2024

NAIBU MEYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA UJENZI SEKONDARI ABBAS TARIMBA, KITUO CHA AFYA TANADALE

Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Diwani wa Kata ya Kunduchi Michael Urio leo Agosti 26, 2024 amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Abbas Tarimba, na kutembelea Kituo cha afya cha Tandale, kusikiliza na kuzitatua changamoto zilizopo kwenye kituo hicho. Ziafauatazo ni picha za matukio mbalimbali Mh. Naibu Meya akiwa katika ziara hizo.👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages