LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 31, 2024

DARAJA LA BUSISI LIKIKAMILIKA WATAKUJA KULISHANGAA- DK NCHIMBI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa  Daraja la Busisi ujenzi wake ukikamilika licha kutumika kwa usafiri, watu wengi watakuwa wanaenda kulishangaa kutokana na uzuri wake.

Ameyasema hivikaribuni akizungumza na wananchi wa Busagara  baada ya kulikagua wakati wa ziara yake mkoani Mwanza.

Ujenzi wa daraja hilo uliofikia asilimia 90 na kugharimu zaidi ya sh. Bilioni 700.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages