LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2024

WAFUGAJI WAAHIDI KUMCHUKULIA FOMU RAIS SAMIA UCHAGUZI WA MWAKA 2025

NA VICTOR MAKINDA. BUNDA,  MARA


Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kimesema kitamchukulia fomu  za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hasaan, kwenye  uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani 2025.


Hayo yameelezwa  kijijini Sarakwa wilayani Bunda mkoani Mara  na Mwenyekiti  wa Taifa wa chama hicho Mrida Mshota.


Amesema kuwa kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia katika kuboresha sekta mbali mbali za maendeleo nchini, zimewashawishi wanachama wa chama hicho, kumchukulia fomu za kuwania nafasi hiyo Rais Samia katika uchaguzi mkuu ujao.


Msikilize....


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages