LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 6, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Ă–stros pamoja na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.


Rais wa Jamhuri ya MuunganoTanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Ă–stros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar . 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages