Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za Asili (Mkuki Ngao) na shada
la maua kwenye mnara wa Mashujaa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya
Kumbukumbu ya Mashujaa. Maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa
Mashujaa uliopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 25
Julai, 2024.
Jul 25, 2024
RAIS DK SAMIA AONGOZA SIKU YA MASHUJAA MJINI DODOMA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇