LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 8, 2024

RAIS ALHAJ DK. MWINYI ALIPOHUTUBIA MWAKA MPYA WA KIISLAM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislamu mwaka 1446 Hijriya katika Msikiti wa Jamiu Zinjibar Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 6 Julai 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages