Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdalla akiungana na kwaya kutumbuiza mkutano wa ndani wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na viongozi wa chama mkoa wa Lindi Julai 30, 2024.
Dk Nchimbi ameanza ziara ya siku mbili mkoani humo yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020, kuhuisha uhai wa chama, kusikiliza na kutatua kero za wananchi pamoja na kuhamasisha wananchi kujitokeza kuhakiki taarifa zao na kujiandikisha katika kitabu Cha kudumu Cha Wapiga kura, kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba mwaka huu.
Katika ziara hii Dk. ameambatana na Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amosi Makalla, Katibu wa NEC-Oganaizesheni Ndg. Issa Ussi Haji (Gavu) pamoja na Katibu wa NEC- Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdallah Hamid.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Your Ad Spot
Jul 30, 2024
MASHAMU SHAMU MKUTANO WA DK NCHIMBI LINDI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About Blogger
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇