LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2024

MAKALLA AKAGUA UJENZI WA STENDI YA KISASA YA MWENGE


Katibu wa NEC -Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Amos Makalla Leo ameendelea na ziara Jimbo la Kinondoni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukagua na kuzungumza na Wananchi wa majimbo 10 ya uchaguzi Mkoa wa Dar es salam.


Makalla amekagua Ujenzi wa stendi ya Kisasa ya Mwenge na Uwanja wa Mpira wa Mwenge ambapo Miradi yote imekamilika kwa asilimia kubwa hivyo kisha akatoa neno kwa Wanachama na Wananchi kuwa Miradi hii shukrani zimuendee Dkt Samia Suluhu Hassan kwani ndie ameridhia ifanyike na sasa imekamilika tunaenda kuongeza ajira,kukuza Uchumi na Maendeleo kwa Wana Mwenge kwani yanayofanyika hayahitaji tochi 










.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages