LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 15, 2024

CPA MAKALLA AMPASHA UKWELI MBOWE

 


Chama cha Mapinduzi kupitia Katibu wake wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla kimemjibu Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwamba watanzania ni majisiri na wana imani na CCM.

" Watanzania wanaujasiri toka uhuru wa Nchi yao maendeleo waliyoyapata leo ni kwasababu ya ujasiri wao wa kufanya kazi lakini ujasiri upo katika kuchagua vyama ndiyo maana Watanzania nchi wakachagua Chama cha Mapinduzi"

Makalla alisema hayo Julai 14, 2024

kwenye mkutano wa hadhara wilayani Ubungo katika mfululizo wa ziara zake mkoani  Dar es Salaam.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages