LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 14, 2024

BABA HALISI AMTEMBELEA RC MAKONDA, WAFANYA MAZUNGUMZO


Kiongozi Mkuu wa Kanisa Halisi, Baba Halisi, akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, alipomtembelea mkuu wa mkoa huo Paul Makonda (kulia), na kufanya mazungumzo, juzi. Katikati ni Mnara Mmoja Halisi.
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Halisi, Baba Halisi, akisindikizwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda (kulia), baada ya mazungumzo yao, juzi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages