LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 10, 2024

NYOKA AWACHONGEA MAAFISA UGANI


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mariam Nyoka ameitaka serikali inafanya mkakati wa kuhakikisha maafisa Ugani wanafika kwa wafugaji kutoa huduma kwa mifugo.


Amehoji hilo awakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 10, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages