LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 10, 2024

MACHIFU WA RUKWA WATINGA BUNGENI KWA MWALIKO WA MWAKANG'ATA

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (mbele) amewaalika bungeni machifu kutoka mkoa huo na kutambulishwa na Mwenyekiti wa Bunge, Dkt. Joseph Mhagama Juni 10, 2024.

Machifu hao walioambatana na watoto wao  walitembezwa maeneo mbalimbali ya Bunge ambapo walipata fursa pia ya kusalimiana na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge.


wakiwa ndani ya Bunge wakifuatilia mwenendo wa Bunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu.


Wakitambulishwa bungeni.

Wakiwa katika picha za pamoja pamoja na mwenyeji wao, Mwakang'ata kwenye viwanja vya Bunge.


Wakisalimiana na baadhi ya wabunge.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages